Rais
Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa
kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka kumi.Pichani Rais
Mstaafu Benjamin Mkapa akikabidhi Rais Kikwete vitabu hivyo katika hafla
fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.VitABU hivyo
vimechapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota chini ya Mkurugenzi wake
Bwana Walter Bgoya Picha na Freddy Maro.