Kituo kimoja kinachohusiana na makuzi na malezi ya mbwa (Greyhounds)
kimewapeleka mbwa waliotumika kama models katika kampeni ya kutangaza
label ya Kiitalino iitwayo Trussardi. Hizi ni picha za mbwa hao
waliotumika katika kampeni hiyo.
SOURCE: DAILY MAIL