Saturday, January 18, 2014

BREAKING NEWS: REPOTI YA CAG YAMWAJIBISHA MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA, ANATORY AMANI

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S.L. Utouh. akisoma ripoti ya CAG kwenye halmashauri ya mansipaa ya Bukoba leo.
 
 Naibu waziri wa TAMISEMI, Mh. Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa ripoti ya CAG kwenye manispaa ya mji wa bukoba leo 


 
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Kanali Mstaafu Fabian Massawe  akizungumza kwenye kikao hicho
 Wa kwanza kulia ni Meya wa  Manispaa ya Bukoba, Bwana Anatory Amani aliyewajibishwa kwenye ripoti ya CAG na pia inamtaka ajiuzuru
Kikao kikiendelea


PICHA NA BUKOBAWADAU BLOG

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →