Friday, January 17, 2014

HIVI NDIVYO...MASTAA WETU WATAKAVYO KUWA WAKISHA ZEEKA.....MUONE JIDE,RAY,WOLPER,

Ray kigosi akiwa anamuonekano wa ujana na uzee
 
Laidy Jaidee akiwa namuonekano wa ujana na uzee
                                                     Jackline walper akiwa na mwna muonekano wa ujana na uzee
Keylin akiwa na muonekano wa ujana na  uzee
Picha za wasanii hawa nyota bongo katika tasnia kuu mbili yan tasnia ya muziki na filamu zikiwa zimehaririwa na moja wa hariri wa kubwa wa picha East Afrika mwana dada toka nchini tanzania mwenye makazi yake zaid southafrika ajulikanae kwa jina la Victoria Edward zimetupiwa mtandaoni na kupendwa na wasanii wengi kupitia mtandao wa instagram..

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →