Nukuu za Jose Mourinho wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu mechi kati ya Chelsea na Man utd.
-"Hatuendi uwanjani kucheza na timu iliyopo nafasi ya kumi na moja
kwenye ligi. Tunakwenda kucheza na mabingwa watetezi wa kombe la ligi"
-"Timu ambayo ipo kwenye matatizo (Man utd) ndiyo timu ngumu zaidi kucheza nayo"
-"Kwa jinsi mwenendo wa ligi unavyokwenda nadhani jambo la msingi kwetu
ni kujihakikishia nafasi ya nne (top four) kwanza kabla ya kufikiria
masuala ya ubingwa"
-"Kuhusu usajili, kikosi chetu kimekamilika sana, nahisi kwa kipindi hiki tutauza zaidi wachezaji kuliko kusajili
SOURCE : KIINI TANZANIA
Sunday, January 19, 2014
MSIKIE JOSE MOURINHO ALICHO KISEMA KUHUSU MECHI YA LEO
Unknown