Taarifa inasema gari aina ya NOAH ilikuwa imebeba abiria kutoka Itigi wakielekea Singida Mjini. Dereva na utingo wa Lori walikimbia baada ya ajali hiyo kutokea.
CHANZO: ITV BREAKING NEWS.
www.kiinitanzania.blogspot.com
Copyright © 2013 KIINI TANZANIA.