Rais
Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu, Jaji George Liundi wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakitoa heshima
za miwsho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Jaji George Liundi,
wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Rais Mstaafu wa awamu ya
tatu Benjamin Mkapa, akielekea kutoa heshim za mwisho.
Rais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, Mwenyekiti wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba mpya, Jaji Joseph Warioba, Makamu
mwenyekiti wa CCM Bara, Philp Mangula na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera na Uratibu na Bunge) William Lukuvi, wakishiriki Misa maalum
ya kumuombea marehemu Jaji George Liundi, wakati wa shughuli za kuagwa
mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
leo.
Rais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, na Waziri wa
Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu na Bunge) William Lukuvi
(kushoto) wakijumuika na waombolezaji katika misa maalum ya kumuombea
marehemu Jaji George Liundi, wakati wa shughuli za kuagwa mwili
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, na Waziri wa
Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu na Bunge) William Lukuvi
(kushoto) wakitafakari msiba huo wakati wa shughuli za kuagwa mwili
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Sehemu ya wanafamilia wakishiriki shughuli hiyo.
Sehemu ya wanafamilia wakishiriki shughuli hiyo.
Mjukuu wa marehemu, ambaye ni motto wa mtangazaji, Taji Liundi, akisoma wasifu wa marehemu.
Baadhi ya viongozi wakielekea kutoa heshima za mwisho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mmwenyekiti wa Chama cha CUF, Prof
Ibrahim Lipumba, baada ya shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Jaji
George Liundi, zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akiagana na Makamuwa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim
Seif, baada ya shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Jaji George Liundi,
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Mke wa Marehemu Mzee Liundi akiweka shada la maua.
Mtoto
mkubwa wa Marehemu JAji George Bakari Liundi, ndg. Taji Liundi na Mkewe
wakiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba yao,wakati wa mazishi yake
yaliyofanyika leo kwenye Makaburi ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam
leo.
Watoto wengine wa Marehemu.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Uratibu na Bunge, Willium Lukuvi
akiweka shada la maua kaburini kwa niaba ya Serikali.
Msajili wa Vyama vya Siasa,Jaji Francis Mutungi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Jaji George Bakari Liundi.
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Walioba akiweka shada la Maua kaburini.
Kateksta
akiongoza ibada ya maziko ya Jaji George Bakari Liundi yaliyofanyika
leo katika makaburi ya Chang'ombe Maduka Mawili jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji waliofika makaburini.
Mwili wa Marehemu Jaji George Bakari Liundi ukishushwa kaburini.
Umati wa waombolezaji.
Kateksta akitia mchanga
Mke wa Marehemu George Bakari Liundi akiweka mchanga.
Mtoto wa Marehemu,aitwae Lulu akiweka mchanga kaburini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick akiweka mchanga kaburini.
Viongozi mbali mbali.
Mh. Lukuvi akiteta jambo na Mh. Sadick wakati wa Mazishi ya Jaji George Liundi.
Mtoto mkubwa wa Marehemu akiweka msalaba kwenye kaburi la Baba yake.