Huyu ni Mka Cameroon anayesakata Kabumbu
la kulipwa huko barani Ulaya, kwa sasa anaichezea Timu ya Chelsea, Pia
Samuel ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Cameroon. Eto'o hivi karibuni
ameonekana kutisha sana katika kabumbu analocheza huko ulaya. Tarehe 19
mwezi huu aliweka historia kubwa katika maisha yake kwa kupiga Hat trick
kwa kuifuna Manchester united bao 3-1 na kufanikiwa kunyakuwa mpira
kama zawadi.