Sunday, January 19, 2014

JAGUAR ANAJEURI MBAYA SASA AAMUA KUNUNUA NDEGE YAKE BINAFSI KWA AJILI YA MISHE NDOGO NDOGO ZA HAPA NA PALE....TAZAMA HAPA PICHA ALIPOTUA NAYO BONGO...

jaguar3
Jaguar msanii wa Kenya anatajwa kama masanii mwenye mafanikio kwenye muziki na kwenye biashara binafsi.
Jaguar pamoja na team yake walikuja Dar kwa ajili ya promotion ya wimbo wake mpya “Kioo”.
Unaambiwa kutoka Kenya kuja Tanzania msanii huyu hakupanda ndege za kawaida bali alikuja na ndege yake binafsi ambayo imeandikwa Air Jaguar.

jaguar
jaguar2
jaguar4

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →