Tuesday, January 21, 2014

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.


Tunapozungumzia wasomi tunazungumzia idadi ya watu waliomaliza elimu za vyuo vikuu yaani walau mtu ana digrii moja.
Kwa mujibu wa taarifa ya mwaka 2013 ya shirika la OECD ambayo 27/7 Wallstreet walinukuu zifuatazo ndio nchi zinazoongoza:


1. Russian Federation
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 53.5%

2. Canada
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 51.3%

3. Japan
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%
4. Israel
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%


5. United States
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 42.5%

6. Korea
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 40.4%


7. United Kingdom
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.4%


8. New Zealand
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%


9. Finland
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%


10. Australia
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 38.3%

Kumi bora kwa Afrika  kwa mujibu wa UNDP na kunukuliwa na Answers.com ni :

1. Zimbabwe
2. Tunisia
3. Nigeria
4. Misri
5. Afrika Kusini
6. Ghana
7.  Kenya
8. Uganda
9. Zambia
10. Morocco

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →