Mapacha wakikuwa watakuwa mamodel ukipitia picha unaweza kujifunza kitu
Huyu akikuwa ni mcheza Rugby
Hapa hata wewe unajua akikuwa atakuwa nani
Huyu nae habari ndiyo hii live bila chenga unaweza kujua tu.
Huyu akikua atakuwa reporter
Na huyu akikua atakuwa padri
Akikua atakuwa Actress
Engineer wa kesho huyo
Huyu akikua hata kuwa bartender
Akikua atakuwa judge
Akikua atakuwa Nurse